DSC 6351-min

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usafiri wa  Anga Bw, Hamza Johari akifafanua jambo katika Mkutano wa Wadau wa Usafiri wa Anga uliofanyika Makao makuu ya TCAA Banana Ukonga Dar es Salaam.

 

DSC 6292-min

Bi Rose Comino Ofisa Biashara na Masoko mwandamizi (TAA) akiwasilisha mada katika mkutano wadau uliofanyika TCAA Banana Ukonga Dar es Salaam.

 

DSC 6316-min

Mwakilishi wa Kampuni ya NAS Tanzania Bw, David Ngarapi akichangia  mada katika mkutano wa Wadau wa usafiri wa Anga uliofanyika Banana Ukonga Dar es Salaam

 

wadau-min

Picha ya pamoja ya Wadau mbalimbali wa usafiri wa anga waliohudhuria katika mkutano wa wadau uliofanyika katika ofisi za TCAA Banana Ukonga Dar es salaam.