Tanzania Airports Authority Blog

  • Home
    Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.

Naibu Waziri Mhandisi Atashasta Nditiye Akutana na Wakazi wa Kipunguni

Posted by on in TAA Blog
  • Font size: Larger Smaller
  • Hits: 1444
  • Subscribe to this entry
  • Print

mhe nditiye 1

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye (wa pili kulia) akielekea kwenye chumba cha mkutano kwenye Jengo la kwanza la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA-TBI), ambapo alikutana na wakazi wa Kipinguni, walioridhia  ili kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala (DAS), Edward Mpogolo. Wa pili kushoto ni Mbunge wa Segerea, Bonna Kalua na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela (kushoto).

mhe nditiye2

aimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela, akizungumza na wakazi wa Kipinguni, katika mkutano ulioitishwa na Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye wa kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA).

mhe nditiye4

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe,. Mhandisi Atashasta Nditiye akizungumza na wakazi wa Kipunguni A na Kipunguni Mashariki kuhusu kukubali kupisha upanuzi wa Kiwanja cha Kimataifa cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kulia ni Katibu Tawala wa Ilala, Edward Mpogolo na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela.

mhe nditiye 3

Baadhi ya wakazi wa Kipinguni A na Kipunguni Mashariki wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, (Sekta ya Uchukuzi na Mawasiliano), Mhe. Mhandisi Atashasta Nditiye alipokuwa akizungumza  nao kuhusu fidia watakapopisha upanuzi wa Kiwanja cha ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)

0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Feedback & Enquires