Tanzania Airports Authority Blog

  • Home
    Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.

TAA Yaandaa Mikakati ya Kudhibiti Viashiria Hatarishi

Posted by on in TAA Blog
  • Font size: Larger Smaller
  • Hits: 1141
  • Subscribe to this entry
  • Print

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege, Bw. Lawrence Thobias akifungua mafunzo ya kutambua viashiria hatarishi (Risk Management)

Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Lawrence Thobias (aliyesimama) akifungua mafunzo ya siku tano ya kutambua viashiria hatarishi (Risk Management) yaliyoanza jana kwenye ukumbi wa Veta Kipawa jijini Dar es Salaam.

 

DSC 6379-min

Kaimu Mkaguzi Mkuu wa Hesabu wa Ndani wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bi. Irene Sikumbili (aliyenyoosha mkono kulia), akitoa ufafanuzi kwa washiriki wa mafunzo ya Viashiria hatarishi (Risk Management) yanayohusisha Watumishi wa Mamlaka hiyo, yaliyoanza jana kwenye ukumbi wa Veta jijini Dar es Salaam.

 

DSC 6388-min

Mkaguzi Mkuu wa Ndani kutoka ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu, Bw. Dickson Austin (aliyesimama) akifundisha washiriki wa mafunzo ya viashiria hatarishi (Risk Management) kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), jana kwenye ukumbi wa VETA Kipawa jijini Dar es Salaam.

 

DSC 6407-min

Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali Msaidizi anayeshughulika na Usimamizi wa Viatarishi hatarishi, Mifumo na Udhibiti wa Ndani, Bw. Emmanuel Subbi kutoak ofisi ya Mkaguizi Mkuu wa Hesabu, akionesha Mwongozo wa serikali wa mwaka 2012 kwa washiriki wa mafunzo ya siku tano ya Viashiria hatarishi (Risk Management) wanaotoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA).

 

DSC 6415-min

Kaimu Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Lawrence Thobias (wa kwanza kushoto waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki na wakufunzi wa mafunzo ya viashiria hatarishi (Risk Management) yanayofanyika kwenye ukumbi wa Veta-Kipawa, jijini Dar es Salaam.

0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Feedback & Enquires