Tanzania Airports Authority Blog

  • Home
    Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.

TAA YAWALIPA FIDIA YA VIWANJA WANANCHI WA KIPUNGUNI A

Posted by on in TAA Blog
  • Font size: Larger Smaller
  • Hits: 1437
  • Subscribe to this entry
  • Print

1-min

Wananchi Kutoka Kipunguni A na Mashariki waliofika Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Kidole Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala Wakisikiliza kwa makini namna zoezi hilo litakavyoendeshwa.

2-min

Zoezi la upimaji likiendelea ili kuweza kuonyesha mawe ya upimaji kabla ya kumkabidhi Mwananchi husika mapema leo katika Mtaa wa Kidole kata ya Msongola

3-min

Mmoja wa Wananchi kutoka Kipunguni ambaye ameoneshwa eneo lake akiwa amepiga picha katika eneo hilo  Mtaa wa Kidole kata ya Msongola mapema leo.

4-min

Baadhi ya Wananchi wa Kipunguni Mashariki na Kipunguni A wakiwa na Maofisa wakisubiri kupimiwa maeneo yao katika Mtaa wa Kidole kata ya Msongola mapema leo.

5-min

Wapima ardhi Masasu Magenyi (Manispaa ya Ilala) na Hemedi fundi (Tanzania Remix) wakisoma ramani za eneo hilo wakati wa kugawa maeneo hayo kwa Wananchi Mtaa wa Kidole Kata ya Msongola Wilaya ya Ilala mapema leo.

 

Zoezi la upimaji likiendelea ili kuweza kuonyesha mawe ya upimaji kabla ya kumkabidhi Mwananchi husika mapema leo katika Mtaa wa Kidole kata ya Msongola

0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Feedback & Enquires