Tanzania Airports Authority Blog

  • Home
    Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.

Watumishi wa TAA wasisitizwa kuzingatia maadili ya Utumishi wa Umma

Posted by on in TAA Blog
  • Font size: Larger Smaller
  • Hits: 285
  • Subscribe to this entry
  • Print

1-min

Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wakifuatilia kwa makini taarifa mbalimbali wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha hapo jana.

 

2-min

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Mhandisi Julius Ndyamukama ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanya kazi akifafanua jambo wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha hapo jana kulia kwake ni Katibu wa Baraza hilo Bi, Naomi Semadio.

 

3-min

Wajumbe Wengine wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wakifuatilia kwa makini taarifa mbalimbali wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha hapo jana.

 

4-min

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Mhandisi Julius Ndyamukama ambaye pia ni Mwenyekiti wa Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanya kazi alipokuwa akimkaribisha mgeni rasmi wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha hapo jana.

 

5-min

Mkurugenzi wa Rasilimali watu na Utawala wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Bw, Grayson Mwaigombe akifunga Mkutano wa 24 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania uliofanyika katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha hapo jana.

 

6-min

Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Arusha aliyenyoosha mkono Mhandisi Elipid Tesha akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Mkutano wa 24 wa Baraza kuu la Wafanyakazi walipotembelea miradi inayoendelea katika Kiwanja hicho hapo jana.

0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Feedback & Enquires