Tanzania Airports Authority Blog

  • Home
    Home This is where you can find all the blog posts throughout the site.

Waziri Prof. Makame Mbarawa Akipokea Taarifa ya Vyanzo vya Mapato JNIA

Posted by on in TAA Blog
  • Font size: Larger Smaller
  • Hits: 1212
  • Subscribe to this entry
  • Print

 mbarawa3

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Richard Mayongela akizungumza wakati wa ufunguzi wa kikao cha kukabidhi taarifa ya vyanzo vya mapato vya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kushoto).

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kulia) akipokea taarifa ya timu ya wataalu iliyofanya majadiliano na watoa huduma/wafanyabiashara katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (MAB), Mhandisi Prof. Ninatubu Lema.

mbarawa2

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa (kulia) akizungumza baada ya kupokea taarifa ya vyanzo vya mapato vya Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA). Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Bw. Richard Mayongela.

mbarawa4

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akisikiliza juu ya maendeleo ya Mradi wa Jengo la Tatu la Abiria kutoka kwa Mkurugenzi wa Mradi kutoka kampuni ya BAM Bw; Worfgang Marschick (katikati), na kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja Vya Ndege Tanzania (TAA), Bw; Richard Mayongela.

0

Contact Us

Tel (Gen): +255 22 2842402/3
Fax: +255 22 2844495
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
P.O.Box 18000 Dar Es Salaam

Feedback & Enquires